Share

Watu wengine 931 waambukizwa COVID-19, wagonjwa 333 wapona huku 6 wakifariki

Share this:

Waziri wa Afya Mutahi Kagwe Jumapili alitangaza visa vipya 931 vya ugonjwa wa COVID-19 kutokana na upimaji wa sampuli 6,691 katika muda wa masaa 24 yaliyopita.
Visa hivyo vipya vimeongeza idadi ya maambukizi humu nchini na kufikia 49,721.
Kufikia sasa, wizara hiyo imepima jumla ya sampuli 659,920 kote nchini.
Kati ya visa hivyo vipya vya leo, 896 ni vya Wakenya ilhali 35 ni vya raia wa nchi za kigeni.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/

#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive

Leave a Comment