Share

Wasiwasi Ya Virusi Vya Corona Miongoni Mwa Wakenya Yapungua

Share this:

Kiwango Cha Wasiwasi Kuhusu Maambukizi Ya Virusi Vya Corona Miongoni Mwa Wakenya Kimepungua Kutoka Asilimia 70 Hadi Asilimia 40. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Utafiti Wa Hivi Punde Wa Tifa Ambao Umebaini Kuwa Wengi Wa Wakenya Wanaamini Kwamba Tishio La Corona Limeisha.

Leave a Comment