Share

Wanawake wawili walumbania mazishi ya mume wao huko Bungoma

Share this:

Kizazaa kilishuhudiwa katika chumba cha maiti katika hospitali ya kaunti ya Bungoma, pale wake wawili walipozozania maiti ya mume yao aliyefariki. Mazishi hayo sasa yataendelea kesho baada ya polisi kukubali kutoa ulinzi.

Leave a Comment