Share

Wakfu wa benki ya Equity watoa msaada hospitali ya KU

Share this:

Wahudumu wa afya katika hospitali ya rufaa na mafunzo ya chuo kikuu cha Kenyatta wamepokezwa vifaa maalum vya kuwalinda kutokana na virusi vya corona
mchango huo wenye thamani ya shilingi milioni tatu ni wa nne kutolewa kwa hospitali hiyo na bodi ya hazina ya covid-19 na wakfu wa benki ya equity. Wagonjwa 2,319 wa corona wamehudumiwa katika hospitali hiyo tangu mwezi machi, huku kwa sasa wagonjwa 72 wa corona wanaendelea kuhudumiwa hospitalini humo.

Leave a Comment