Share

Wakenya Waendelea Kutoa Hisia Mseto Kuhusu Bbi

Share this:

Hisia Mseto Zinazidi Kutolewa Kuhusu Ripoti Ya Bbi Iliyozinduliwa Rasmi Hii Leo, Wengi Wa Wakaazi Wa Kisumu Wakikashifu Suala La Kubuniwa Nafasi Zaidi Za Uongozi. Washkadau Katika Sekta Ya Michezo Vile Vile Wanahisi Ripoti Hii Haijanakili Vilivyo Jinsi Wanaspoti Watakavyofaidika.

Leave a Comment