Share

Wairimu Anakumbwa Na Changamoto Si Haba Baada Ya Kutekwa Nyara Na Kunyanyaswa Kingono

Share this:

Esther Wairimu Mkaazi Wa Kaunti Ya Muranga Anakumbwa Na Changamoto Si Haba Baada Ya Kutekwa Nyara Na Kunyanyaswa Kijinsia. Wairimu Sasa Analilia Haki Huku Akiwa Na Wakati Mgumu Wa Kujisaidia Bada Ya Kunajisiwa Na Watekaji Nyara Hao. Kamanda Wa Eneo Hilo Amedhibitisha Kuwa Uchunguzi Umeanza.

Leave a Comment