Share

Wafungwa 120 wataachiliwa huru katika gereza la wanaume la Eldoret

Share this:

Huku ulimwengu ukisheherekea siku ya wapendanao hii leo, wafungwa 120 wataachiliwa huru katika gereza la wanaume la Eldoret. Wafungwa hao pia wamepata zawadi mbalimbali kama magodoro 1000 , mashine 100 ya kunyoa nywele , miongoni mwa zingine kama njia moja wapo ya kuonyesha upendo siku hii.

Leave a Comment