Share

Utekelezwaji wa BBI wazua tumbo joto

Share this:

Huku mchakato wa BBi ukiendelea kupamba Moto viongozi katika Kaunti ya Kilifi wanataka ripoti hiyo itekelezwe kupitia kura ya maamuzi wakidai kuwa kuitekeleza kupitia Bunge ni hujuma Kwa wananchi.

Leave a Comment