Share

Ubabe wa mgao wa pesa watifua kivumbi

Share this:

Magavana sasa wanasema shughuli nyingi za kaunti zimelemazwa kufuatia utata wa mgao wa fedha za kaunti, huku sasa mzozo huo ukielekezwa mahakama ya juu hapo kesho. Mwenyekiti wa baraza la magavana Wycliffe Oparanya katika mahojiano na runinga ya citizen amesema kuwa, huenda mambo yakawa mabaya zaidi kaunti endapo mzozo huu hautapata kutanzuliwa.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment