Share

Sokomoko bungeni Kisumu : Onyango Oloo azuiwa kuingia ofisini

Share this:

Kulitokea fujo katika bunge la kaunti ya Kisumu, wiki moja baada ya wawakilishi wa bunge hilo kumteua Elisha Oraro kama kaimu spika, na kumtaka Onyango Oloo aondoke hadi kesi inayomkabli ya ufujaji wa pesa kukamilika. 
Fujo ilianza baada ya Oloo kujaribu kuingia ofisini, na baadaye hoja ya kumng’atua  Oloo ikapitishwa bungeni. yake.

Leave a Comment