Share

Serikali yatenga shilingi bilioni 7.7 kuchimba visisma vya kijamii

Share this:

Serikali kwa ushirikiano na benki ya dunia mwaka ujao itakamilisha uchimbaji wa mabwawa kote nchini kwa gharama ya shilingi bilioni 7.7. Miradi hiyo ambayo inatarajiwa kukamilishwa mwezi Aprili mwakani itasaidia kukabiliana na hasara zinazosababishwa na hali ya ukame miongoni mwa jamii 14 wakati wa misimu ya mvua.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/

#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive

Leave a Comment