Share

Rais awaamrisha Gavana Sonko na Mkurugenzi wa NMS Meja Badi kuwacha siasa na kufanya kazi pamoja

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta amewamrisha Gavana wa Nairobi Mike Sonko na mkurugenzi wa NMS Meja jenerali Mohammed Badi, kufanya kazi pamoja na kuwacha siasa za mgawanyiko ambazo hazifai raia wa jiji hili ambao wanaendelea kukosa huduma muhimu.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Leave a Comment