Share

Rai na Siha: Karaha ya uchoraji wa mwili

Share this:

Uchoraji wa Michale mwilini, almaarifu tatoo umekua mtindo  katika jamii, na kila anayefanya hivyo huwa na sababu zake za kibinafsi.
Hata hivyo wengi hawatilii maanani yatakayojiri iwapo watataka kuiondoa au hata iwapo maisha yakabadilika na kutaka kubadili msimamo.
Kama Robi Omondi anavyotuarifu hii leo katika makala ya Rai na Siha, utepetevu katika uchoraji au utoaji wa tattoo una athari zake katika afya ya binadamu.

Leave a Comment