Share

Nelson Havi Aapa Kumfurusha Mercy Wambua Kama Afisa Mtendaji Wa LSK

Share this:

Chama Cha Mawakili Nchini Lsk Chini Ya Mwenyekiti Nelson Havi Kimeisuta Serikali Kwa Kile Wanachodai Ni Kuingilia Maswala Ya Uongozi Wake. Havi Na Naibu Wake Carolyne Kamende Mapema Hii Leo Wameshikilia Msimamo Wa Kumbandua Afisa Mkuu Mtendaji Mercy Wambua Kwa Tuhuma Za Ufisadi.

Leave a Comment