Share

Ndugu wawili wadaiwa kumuua kaka yao baada ya mzozo wa hela

Share this:

#Kenya #KTNNews #KTNPrime
Familia moja katika kijiji cha Cheplelaibei eneo la Soy kaunti ya Uasin Gishu inaomboleza kifo cha mpendwa wao aliyeaga dunia baada ya kuvamiwa na ndugu zake wawili na kudaiwa kumdunga kisu.

Inadaiwa ndugu hao walizozania pesa ambazo baba yao alikuwa amepewa na shangazi yao aliyekuwa amewatembelea siku ya jumanne. Marehemu Darius Kiplimo mwenye umri wa miaka 42 alizozana na nduguze Jacob Kipkosgei na Daniel Kipchirchir usiku wa kuamkia siku ya Jumatano baada ya shangazi yao kuwatembelea kumjulia hali baba yao aliyekuwa ameugua kwa muda.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews

Leave a Comment