Share

MKASA WA JUMBA TASSIA: Watu 4 wamethibitishwa kufariki, majeruhi wamekimbizwa hospitali

Share this:

Watu wanne wamethibitishwa kufariki baada ya jengo lenye ghorofa sita kuporomoka katika eneo la Tassia hapa jijini Nairobi.Kulingana na katibu wa wizara ya mipango watu takriban arobaini na sita walikuwa wapangaji na kufikia sasa shughuli za uokozi zinaendelea.

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment