Share

Mihemko ya BBI: Makundi hasimu yakabiliana Nyeri

Share this:

Siasa za BBI ziliendelezwa leo huku mrengo unaounga mkono naibu rais William Ruto ukisisitiza kuwa wako tayari kupitisha ripoti hiyo hata kwenye kura ya maoni japo wengine wao wanatiliashaka jopo la wataalamu itakayoundwa na rais Kenyatta kudadisi ripoti hiyo kisheria.

Leave a Comment