Share

Mazishi ya Tob Cohen : Pande kinzani zakubaliana azikwe Jumatatu

Share this:

Familia ya mwendazake Tob Cohen imeafikiana na mkewe Sarah Cohen kwamba mazishi yatafanyika tarehe 23 mwezi huu katika makaburi ya wayahudi jijini Nairobi.
Mawakili wa pande zote husika wamekubaliana kwamba dadake marehemu Gabrie Van Straten na mshukiwa mkuu katika mauji ya Cohen Sarah Wairimu watashiriki kwa pamoja hafla hiyo.

Leave a Comment