Share

MASHAMBULIZI YA WAJIR: Watu 11 wauawa kinyama

Share this:

Miili ya watu kumi na moja waliouwawa katika shambulizi la basi eneo la Kutulo katika kaunti ya Wajir imeletwa hapa jijini Nairobi, huku uchunguzi ukiendelea dhidi ya shambulizi hilo lililotokea hapo Ijumaa

Leave a Comment