Share

Mali ya Cohen yazozaniwa : Mjane Sarah kupinga wosia mahakamani

Share this:

Mzozo wa mali ya bwenyenye Tob Cohen unaendelea kukithiri huku wakili wa mjane Sarah Wairimu akiapa kuelekea mahakamani wiki ijayo  kupinga wosia ya mwendazake uliotangazwa na wakili chege kirundi . 
Haya yanajiri huku nyumbani kwake Tob Cohen katika mtaa wa kifahari wa Kitisuru kukisalia chini ya ulinzi mkali wa maafisa wa polisi wanaoshika doria kama eneo la mkasa wa mauaji.

Leave a Comment