Share

Makarani wa sensa wasema bado hawajalipwa Kwale

Share this:

Baadhi ya maafisa walioendesha zoezi la kuhesabu watu katika kuanti ya Kwale wangali wanaishinikiza serikali kuwalipa marupurupu yao miezi tatu tangu zoezi la sensa kukamilika.

#SEMANACITIZEN

Leave a Comment