Share

Mahangaiko ya walowezi Mau

Share this:

Huku baadhi ya walowezi wanapoendelea kuhama kwenye msitu wa Mau, imebainika wazi kwamba kuna wanafunzi waliojisajili  kufanya mtihani wa darasa la nane wa KCPE, na licha ya serikali kuagiza shule 15 kwenye msitu wa mau kufunguliwa ili kuwapa nafasi wanafunzi ,bado shule hizo zimesalia mahame bila wanafunzi.
Kimani Githuku anataruafu zaidi kuhusu masaibu ya walowezi kwenye msitu wa Mau.

Leave a Comment