Share

Magavana wa kaunti zenye madeni walalamika

Share this:

Magavana wa kaunti zaidi ya kumi ambazo huenda zikanyimwa mgao wa fedha baada ya kukosa kulipa madeni wamelirai bunge la seneti kuwatetea na kuagiza hazina ya kitaifa kutotekeleza uamuzi huo kwani shughuli katika kaunti hizo zitatatizika.
Magavana hao waliofika mbele ya kamati ya seneti kuhusu fedha walisemakuwa wameweka mikakati ya kulipa madeni yaliyosalia huku wakilitaka bunge la seneti kuchunguza madeni hayo kwani mengine hayakuwa halali.

Leave a Comment