Share

Mabunge ya Seneti na Taifa yakubali ombi la magavana kuhusu madeni ya kaunti hizo 14

Share this:

Ni afueni kwa kaunti 14 ambazo zingekosa kupata fedha za mgao baada ya magavana kukosa kulipa madeni, hii ni baada ya bunge la kitaifa na lile la seneti kukubali maombi ya magavana hao na kuagiza hazina ya kitaifa kuwapa haki yao.

Leave a Comment