Share

Kaunti ya Kilifi yaanzisha mikakati ya kupunguza uhaba wa chakula

Share this:

Serikali ya kaunti ya Kilifi imeanzisha mikakati kabambe ya kupunguza uhaba wa chakula na mafuriko ya mara kwa mara kwa kuchimba mabwawa kando kando ya mto galana. Serikali hiyo imenunua tingatinga maalum lenye uwezo wa kuchimba mabwawa kumi Kwa mwaka mmoja ili kufanikisha mpango huo ambao utajumuisha unyuyizsji mashamba maji.

Leave a Comment