Share

Kalenda Ya Elimu Yatolewa Wanafunzi Kurejea Januari 4 2021

Share this:

Wanafunzi Wote Wanatarajiwa Kurejea Madarasani Kuanzia Januari Tarehe Nne Mwaka Ujao. Hayo Ni Kulingana Na Waziri Wa Elimu George Magoha Aliyetaja Kuwa Kufunguliwa Kwa Shule Mwezi Huo Utakuwa Unachukua Usukani Wa Muhula Wa Pili Uliokatizwa Na Janga La Virusi Vya Corona Na Muhula Wa Tatu Kwa Wanafunzi Katika Gredi Ya Nne, Darasa La Nane Na Kidato Cha Nne…Kama Anavyoarifu Mwanahabari Milliah Kisienya ………

Leave a Comment