Share

AJALI AU KUJITOA UHAI?: John Mutinda atumbukia baharini

Share this:

Mwili wa mwanamume aliyeanguka karibu nakivukio cha feri cha Likoni, John Mutinda, umetolewa baada ya kutumbukia baharini.
Tukio hilo liliripotiwa majira ya 4.20 alfajiri ambapo mwendazake alisemakana kununua tiketi katika kivukio cha likoni na kisha kuendesha gari lake kwa kasi licha ya maafisa wa hapo kujaribu kumzuia.

Leave a Comment