Share

Zogo la mgao wa fedha

Share this:

magavana walitembea katika mitaa ya jiji la Nairobi hadi katika mahakama ya upeo kuwasilisha kesi kuhusu ugavi wa fedha. mtafaruku kuhusu mgao huo umekuwa ukiendelea kwa muda sasa ambapo wiki tatu baada ya bajeti kusomwa, hakuna muafaka uliopatikana.magavana wanasema kuwa bunge linahujumu ugatuzi huku wakiilaumu wizara ya hazina ya kitaifa kwa kuchelewesha pesa za kaunti na hivyo kulemaza shughuli. seneti ilitaka mgao wa kaunti kufikia shilimgi bilioni 327 lakini bunge ikishikilia shilingi bilioni 316

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment