Share

Zogo la maiti katika mochari ya Kiambu

Share this:

Hali ya suitafahamu ilitanda katika hifadhi ya maiti ya Kiambu baada ya familia moja kukosa mwili wa mpendwa wao. Ililazimu usimamizi wa mochari kuagiza miili yote iliyochukuliwa siku hiyo kuregeshwa kwenye hifadhi ili kila familia itambue upya.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment