Share

Ziwa Viktoria laingilia makazi ya binadamu baada ya kuvunja kingo zake

Share this:

Mvua za Masika ambazo zinashuhudiwa karibu sehemu zote hapa nchini na zimesababisha dhiki kubwa kwa wakaazi wa maeneo yanayozingira Ziwa Viktoria, Hii ni baada ya ziwa hilo kuvunja kingo zake na kuingilia makazi ya binadamu. Sasa zaidi ya watu milioni ishirini kutoka mataifa ya Kenya, Uganda, Tanzania ambao wanategemea ziwa hilo kwa uvuvi na shughuli zingine za maisha wameachwa hoi baada ya makazi yao kuharibiwa na ziwa.

Leave a Comment