Share

Zimwi la Ruaraka: Mohammad Swazuri adai kufuata sheria

Share this:

Mwenyekiti wa tume ya ardhi nchini Muhammad Swazuri amepuuzilia mbali ripoti ya seneti iliyomlimbikizia lawama pamoja na waziri Fred Matiang’i na katibu wa wizara ya elimu Belio Kipsang kuhusu sakata ya ardhi ya Ruaraka.
Swazuri amesisitiza kwamba sheria na kanuni zifaazo zilifuatwa na shutma dhidi yake hazina msingi.

Leave a Comment