Share

Zaidi ya wanariadha 160 washiriki mafunzo kuhusu maadili mjini Eldoret

Share this:

Zaidi ya wana riadha 160 wamekongamana mjini eldoret kwa mafunzo kuhusu maadili ya riadha na utumizi mbaya wa dawa za kutitimua misuli. Baadhi ya wanariadha waliohudhuria ni wale wa masafa marefu akiwemo bingwa wa dunia eliud kipchoge, mary keitany, vivian cheuriyot david rudisha wilson kipsang miongoni mwa wana ridha wengine.

Leave a Comment