Share

Zaidi ya familia 300 eneo la Satima, Nyeri wafanya maandamano

Share this:

Zaidi ya familia 300 katika eneo la Satima eneo bunge la kieni Nyeri wanaishi na hofu ya kufurushwa kutoka makwao na watu binafsi katika mzozo wa shamba. Hii ni baada ya mahakama kuamuru watoke katika shamba hilo la ekari 477 na sasa wansema kuwa wamenyimwa haki.

Leave a Comment