Share

William Ruto amtaka aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga kukoma kumhusisha kwenye tuhuma za ufisadi

Share this:

Hatimaye naibu rais William Ruto amezungumzia kisa ambapo jina lake limehusishwa kwenye sakata ya ufisadi katika hospitali ya rufaa ya Moi-Eldoret. Ruto amemtaka aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga kukoma kumhusisha kwenye tuhuma za ufisadi zinazozingira utoaji mmoja wa zabuni katika hospitali hiyo huku akijitenga na sakata hiyo kwa kusema alisitisha zabuni hiyo ili kuzuia ufujaji wa fedha za umma.Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

Leave a Comment