Share

Wetangula atilia shaka uhusiano wa kisiasa kati ya Raila na Uhuru

Share this:

Vinara wenza wa muungano wa NASA akiwemo Kalonzo Musyoka na Musalia Mudavadi wamekutana siku chache baada ya pambaja la rais Uhuru Kenyatta na Kinara wa NASA Raila Odinga katika ibada ya kitaifa ya kila mwaka.
Na kama anavyoripoti Gordon Odhiambo,  pambaja hilo liliibua cheche za kisiasa kutoka kwa kinara  mwenza Moses Wetangula na Musalia Mudvadi ambao hawakuhudhuria ibada hiyo.

Leave a Comment