Share

Wenyeji wahakikishiwa usalama wa sensa Mumias

Share this:

Mkuu wa polisi wa Mumias Peter Kattam amewahakikishia wenyeji usalama wa kutosha kabla na wakati wa zoezi la kuhesabu watu ambalo linalotarajiwa kuanza tarehe 24 akisema maafisa wa polisi wataandamana na maafisa wa kuwahesabu

Leave a Comment