Share

Wenyeji wa eneo la Tigithi ,Laikipia wahangaika kwasababu ya barabara mbovu

Share this:

Wakazi wa wodi ya Tigithi katika eneo bunge la Laikipia mashariki wanalalamikia barabara mbovu ambazo zinawafanya kutumia muda mwingi kusafirisha mazao kutoka shambani hadi katika mji wa Nanyuki. Isitoshe, wanasema kuwa wanapata wakati mgumu wanapowapeleka wagonjwa hospitalini kutokana na barabara mbaya.

Leave a Comment