Share

Wenye vilabu na maeneo ya burudani watakiwa kupunguza kelele Kilifi

Share this:

Serikali ya kaunti ya Kilifi sasa inawataka wawekezaji wa vilabu na maeneo ya Burudani kule Watamu katika kaunti ya Kilifi kuweka vidhibiti kelele kwenye biashara zao la sivyo waandamwe kisheria

Leave a Comment