Share

Waziri wa michezo Amina Mohammed aahidi kushughulikia maswala ya wanamichezo

Share this:

Tangu akabidhiwe mikoba ya kuendesha Wizara ya michezo humu nchini kutoka kwa mtangulizi wake Rashid Echesa, Waziri Amina Mohammed ameweka bayana ajenda yake katika wizara hiyo ambayo kwa muda imeonekana haijapata waziri muelewa mambo.

Leave a Comment