Share

waziri ukur ataka kaunti zipewe 50% ya sh 310B

Share this:

Wizara ya fedha sasa imependekeza kaunti kupewa asilimia hamsini ya mapato yaliyotengewa kaunti na wizara ya fedha kwenye bajeti ya 2019/2020 liyosomwa na aliyekuwa waziri wa fedha Henry Rotich. Hii ni kutokana na mtafaruku uliopo kuhusu mswada wa ugavi wa mapato baina ya bunge la kitaifa na seneti. Hii ina maana kwamba waziri anapendekeza kaunti kupokea mgao wa asilimia 50 kutoka kwa mgao wa shilingi bilioni 310 na wala sio mgao wa bilioni 316 na bilioni 335 uliopendekezwa na bunge la kitaifa na seneti mtawalia.

Leave a Comment