Share

Waziri Munyes ataka uozo wa ufisadi ushughulikiwe mara moja

Share this:

Waziri wa mafuta na migodi, John Munyes, amekubali kuwa kuna ufisadi Kenya Pipeline na uozo huo ushughulikiwe mara moja. Akizungumza na wanahabari, Munyes amesema uchunguzi unaofanywa sasa na vitengo tofauti utatoa taswira kamili ya hali ilivyo na hakuna yeyote atakayesazwa endapo atapatikana ameshiriki ufisadi.

Leave a Comment