Share

Waziri Magoha atoa ushauri wa jinsi ya kupita mitihani

Share this:

Waziri wa elimu Prof George Magoha ametoa wito kwa washikadau wa elimu kuwa makini na kutojihusisha katika udanganyifu wakati wa mitihani ya kitaifa inayotarajiwa kufanywa katika muhula huu wa tatu.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

#NTVToday #NTV #NTVNews

Leave a Comment