Share

Waziri Henry Rotich na katibu wake Thugge kizimbani

Share this:

Waziri wa hazina ya kitaifa Henry Rotich na katibu wake Kamau Thugge pamoja na maafisa wengine 10 wa serikali wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka yanayohusu kashfa ya mabwawa ya Arror na Kimwarer. Baadhi ya mashtaka yanayowakabili ni pamoja na kutoa zabuni bila ya kufuata sheria, matumizi mabaya ya ofisi pamoja na matumizi mabaya ya fedha za umma

Leave a Comment