Share

Waziri George Magoha anaongoza mpango wa kuwatafuta wanafunzi ambao bado hawajafika shuleni

Share this:

Waziri wa elimu Profesa George Magoha ameanzisha mpango wa kuwatafuta wanafunzi waliofanya mtihani wa KCPE mwaka jana na ambao bado hawajafika shuleni. Waziri Magoha anaongoza mpango huo katika mtaa wa Kibra hapa Nairobi

Leave a Comment