Share

Waziri atimuliwa Nakuru : Bunge lapitisha kura ya kumng’atua

Share this:

Wawakilishi wa bunge la kaunti ya Nakuru hii leo,wamepitisha kura ya kutokuwa na imani na kumng’atua mamlakani Lucy Kariuki ambaye alikuwa waziri wa uchukuzi na usafiri kwenye kaunti hiyo.
Lucy anadaiwa kutumia mamlaka yake vibaya, kuwa na utovu wa nidhamu na kusuasua kikazi.

Leave a Comment