Share

Wazee wa Kaya watofautiana kuhusu sherehe za kumbukumbku ya Mekatilili Wa Menza

Share this:

Viongozi wa Kilifi wanasema kuwa sherehe za kumkumbuka Mekatilili Wa Menza katika eneo la Bungale huko zitaendelea licha ya kuwa na mgawanyiko kati ya viongozi wa kaya.viongozi wanazozania eneo la sherehe.

Leave a Comment