Share

Wazee wa Kalenjin wasema kifo cha rais Moi ni pengo kubwa

Share this:

Baadhi ya viongozi wa jamii ya wakalenjin sasa wanasema kwamba kifo cha rais mstaafu hayati daniel toroitich arap moi kimeacha pengo kubwa hususan katika jamii ya wakalenjin. Viongozi hao sasa wanasema baada ya siku arubaini watakua na mkutano maalum ambao utatoa mwelekeo kuhusu kiongozi atakayechukua hatamu. Hii ni baada ya gideon moi kupokea fimbo sawia na ile ya babake hapo jana.

Leave a Comment