Share

Wavuvi Ziwa Victoria Wadai Wahangaishwa Na Serikali Ya Uganda

Share this:

Wavuvi katika Ziwa Victoria wanazidi kulalamikia kuhangaishwa na vikosi vya usalama kutoka nchi jirani ya Uganda. Wavuvi hao wanasema kando na kutiwa mbaroni na askari hao wanalazimishwa kula samaki wabichi jambo wanalosema ni hatari kwa afya. Kufuatia masaibu yao wameitaka serikali kuu kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro hup haraka iwezekanavyo.

Leave a Comment