Share

Wauguzi chini ya serikali kuu wasusia kazi

Share this:

Wauguzi wa tawi la serikali kuu chini ya muungano wa kitaifa KNUN kutoka baadhi ya hospitali wameapa kuendelea na mgomo wao ambao ulianza rasmi leo baada ya kushiriki maanadamano.
Wameshtumu wizara ya afya na SRC kwa kutoskiza kilio chao huku wakidai kuwa idadi ya wauguzi ni ndogo sana.  
Mgomo huu umelemaza hospitali ya Mathari,kituo cha kutibu uti wa mgongo na sehemu ya kuhifadhia damu na zile hospitali katika uwanja wa ndege.

Leave a Comment