Share

Watu wawili wauliwa Marsabit

Share this:

Wakazi wa kaunti ya Marsabit wanaisihi serikali kuimarisha usalama eneo hilo kwani tangu Novemba mwaka jana, idadi ya mauaji imeongezeka siku baada ya nyingine. Imedaiwa kuwa wwanasiasa waliohudumu kabla ya uchaguzi wa mwaka 2017 ndio wamekuwa wakifanya njama ya kudhalilisha mikakati ya serikali ya kudumisha amani na kusitisha uhasama.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment